forum

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Aga machine97

    New to JamiiForums

    Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
  2. Unique Flower

    Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

    Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu . Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za...
  3. S

    Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  4. minzakunza

    Msaada kuhusu jamii forum

    Nawasalimu wote Tafadhali naombeni msaada au ufafanuzi, leo tangu asubui jamii forum imegoma kufunguka kwangu Nimehangaika sana kuzima simu na kuwasha, ku unstall app na ku install upya jaribu kila kitu ikashindikana. Mida hii nikapata wazo la kutumia vpn naona imefunguka ni nini kinaendelea, ni...
  5. Crocodiletooth

    Uzi wa kuweka bidhaa kwa mnada

    Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika. N. B: Muuzaji ataweka bei ya...
  6. Joannah

    JF ilivyoua huba langu

    Samaleko, Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History. Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda...
  7. Morning_star

    Wapi mnapata emoj ya kucheka kwenye browser ya jamii forum

    Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
  8. S

    Naomba ushauri wa biashara za vitabu used

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada. Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba). Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used. Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
  9. GoldDhahabu

    Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  10. V

    New Member

    Hello JF members, happy to join you.
  11. THE BIG SHOW

    Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

    Friends and Enemies, Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada. Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala...
  12. Venus Star

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  13. S

    World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  14. MKALI W MAMBO

    Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  15. Venus Star

    Maswali ya mdau katika forum ya Katiba ya Watu kuhusu mikataba na mabadiliko ya Katiba katika mchakato wa kisiasa na kisheria

    Swali la kwanza Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa? Majibu tota kwa mdau @G na wadau wengine Swali la kwanza. Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano: 1...
  16. IamBrianLeeSnr

    Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

    Habari wanajamii, Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana...
  17. LAZIMA NISEME

    Kwanini madaraka ya rais yanalalamikiwa sana na nini kifanyike kwenye katiba ijayo?

    KWANINI MADARAKA YA RAIS YANALALAMIKIWA SANA NA NINI KIFANYIKE KWENYE KATIBA IJAYO? MJADALA KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU
  18. Joseverest

    FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
  19. Azniv Protingas

    Jamiiforum vs usiku vs boxing

    Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
  20. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
Back
Top Bottom