forum

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Wana CCM Tuwe na desturi ya kupitia post (Nyuzi) humu JamiiForums na kuzijibu kwa hoja

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na...
  2. Happy birthday to me Mohamedi wa 5, Jamiiforums wish me

    May 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2 ulikuwa mtu wa kuumwa na kuteseka nakupenda Sana. Happy birthday to me Mohammed wa 5
  3. Utani wa Kweli: Hivi Jamii Forums haiwezi kugeuka kuwa Chama cha Ukombozi kwenye medani ya Siasa ndani ya Afrika Mashariki na kati kwa Ujumla wake?

    Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo; 1. Jamii Forums ninayoijua mimi ni ile iliyojaa wanazuoni na wabobezi wenye uwezo na weledi wa kila...
  4. K

    Ni kipi kinawafanya developers wa nairaland kutokuibadilishia muonekano ?

    Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama wanavyofanya jamii forums mara kwa Mara Je zipo sababu za msingi kwa wamiliki wa mtandao huu kutokutaka...
  5. Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  6. Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

    Afande Kagame siku nyingine najua unapitia pitia mitandao ya kijamii ya Watanzania iliyoandikwa kwa lugha za Kiswahili ama Kingereza kama Jamii Forums na kadhalika. Afande najua hupendi kuulizwa maswali ila mimi ngoja nikuulize swali, mbona unakuwa muoga wa kurudi frontline kupambana na haya...
  7. Kama Yanga SC atafungwa leo, rasmi najitoa Jamiiforums na mods wanifungie

    Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali. Mechi tuliocheza kule Tunisia tuliocheza vizuri japo hatuktengeneza nafasi za magoli. Na wapinzani wetu walitumia mipira...
  8. D

    CCM msijifanye nunda kupuuza Jamii Forum, Chadema wanabamba sana.

    ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe. Jamii Forum ni jukwaa muhimu mno kufanya siasa kutoa hoja na kujibu hoja maana JF kuna wajinga wachache tofauti na...
  9. JamiiForums members nakuchana

    Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,, najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba mbalimbali,watu wamekua katika makuzi tofauti tofauti,kuna wazee, vijana hadi kuna watoto humu, hivyo kila mada...
  10. Hii ni Jamiiforums

    Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana. Kuna wenye ushawishi kam Mshana Watu wajuaji na wabishi kama kiranga Wenye degree za maisha kama Analyze Wapo wasomi wa ngazi na taalum tofauti Pia kuna matajiri kam akina kidukuliko Wapenda...
  11. B

    Over 400 EU Companies to Take Part In the EU-Tanzania Business Forum

    23 January 2023 Dar es Salaam, Tanzania The European Union Delegation to Tanzania is planning to jointly organise the EU-Tanzania Business Forum with the government of the East African nation in a move aimed at allowing investors from the EU to come and explore the opportunities available in...
  12. Ni hatua gani za kuanzisha forum kama jamiiforums,nairaland au red it.

    Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
  13. Nimekasirika kuitwa malaya

    Kuna watu wanadai ni wanaume ila nimefanya utafiti ni mashoga Nipo serious Kwa sababu huwezi mtu kufurahia status Yako kimaisha na mtu aje aandike mbovu Kwa hasira sijui Malaya wewe. Unaliwa nauanze kutoa povu ukiambiwa haya toa ushahidi hakuna . Ila jamaa amejaa hasira Kisa upo na mwanaume...
  14. Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba

    Unjani sabuwona Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A. Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but...
  15. Kufungua forum inagharimu fedha kiasi gani?

    Habari zenu wana tech, nipo hapa nimepata wazo nataka nifungue forum iwe kama JamiiForums ila tu utakuwa mahususi kwajili ya watu wanaotokea sehemu moja, kufanana interests, kufanya kazi / biashara sawa, n.k. (niche specific) Wanachama wa kukadiriwa kujiunga ni takribani elf 30. Je, ni kiasi...
  16. Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

    Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi. Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai? Mi nasema mtafuteni mshana...
  17. Rubani Rubaga aliwazuia watoto wake kusomea Urubani

    Imezoeleka wazazi na walezi wengi hutamani kuwarithisha watoto wao kazi na taaluma zao, lakini kwa aliyekuwa rubani wa ndege ya Precision Air 5H-PWF, ATR 42-500, marehemu Buruhani Rubaga hali ilikuwa tofauti, kwani aliwazuia watoto wake kusomea taaluma ya urubani. Siri hiyo imefichuliwa na...
  18. MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

    Wadau natumai Ni wazima; Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili. Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu...
  19. Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

    Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…