freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Lissu ni akili kubwa sana, ghafla kamtoa Mbowe kwenye ulingo wa siasa za upinzani

    Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja. Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa siasa za upinzani? Yote hayo ni matokeo ya harakati za Tundu Lissu katika kuwania uenyekiti wa...
  2. Z

    Pre GE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

    Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
  3. Pre GE2025 Kwanini Freeman Mbowe inapotokea ichaguzi wa ndani ndiyo mwanzilishi wa migogoro?

    Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kilivuka salaama mwaka 2019 na hii nikwasababu mbowe hakuwa na mpinzani wake ! Hayo tumeyaona kipindi cha CHACHA WANGWE, NA ZITTO ZUBERI KABWE , tabia hizi za UASAAD ndiyo unakirudisha nyuma chama. Mwaka huu sasa amekutana na wajanja wameshamshitukia...
  4. Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  5. Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
  6. Mbowe alianza kutekeleza hii kauli ya "If you can't beat them, join them" muda mrefu

    WanaJF, Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu...
  7. Pre GE2025 Dkt. Slaa: Minyukano ya kambi za uchaguzi wa Mwenyekiti (Mbowe & Lissu) CHADEMA, sababu ni Mbowe anataka kugombea Urais 2025

    Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇.. TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
  8. M

    Kikeke: Unasemaje kuhusu ukomo wa madaraka, Mbowe ang'aka

    Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale. ****** Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA" Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA" Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa...
  9. B

    Heko Kikeke kwa kumhoji Mbowe, kuweka mizania sawa panga kumhoji na Lissu!

    Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu. Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja: Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha Lissu hapo alipo, bila shaka kuwa yeye ni bora zaidi! Kwamba hakuna anayeweza kujidhania ni wa...
  10. R

    Kasri la Kikeke: mahojiano na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, mwelekeo wa vyama vya siasa 2025

    Sikiliza https://youtu.be/PjKQHmASvCM
  11. Pre GE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje. Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
  12. Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    "Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
  13. Pre GE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    Wakuu Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa; "Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
  14. Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

    Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo. Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
  15. M

    Pre GE2025 Freeman Mbowe ashauriwa akichaguliwa amteue Tundu Lissu kwenye uongozi

    Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA. Kumekuwa na mpambano mkali kwenye mitandao ya kijamii hasa nani anafaa kuchaguliwa kuongoza chama hicho katika uchaguzi wa...
  16. N

    Bob Chacha Wangwe: Mbowe anakuwaje rafiki wa adui zetu? Tumkatae wote

    Na; Bob Chacha Wangwe Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na...
  17. Pre GE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  18. M

    Dkt Haule: Freeman Mbowe umetufedhehesha sana

    ==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka...
  19. Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

    Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo. Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya? Happy New Year 2025 in advance
  20. Freeman Aikaeli Mbowe anapata fursa ya kujua na kujifunza watu wema na wenye hila dhidi yake na uongozi wake

    Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa, Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025. Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe, hali hii itamsaidia sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…