KATIKA MAISHA ILI UWE NA FURAHA LAZIMA UTAMBUE:
*Katika kupoteza, Kuna kujifunza. Chukulia kwako ni funzo Songa mbelee...
*Katika kushindwa, Kuna fursa. Ukishindwa hapa, ni fursa ya kuanzisha safari nyingne, we Songa mbelee...
*Na hakuna tatizo lisilo na majibu. Tafuta chanzo, na jua udhaifu...