Siku moja niliamua kufunga safari, kwenda kutalii kwenye kijiji kimoja, ili niweze kupata hewa safi ya asili itokanayo na misitu, pamoja na mimea ya asili.
Baada ya kufika kwenye kile kijiji, nikawa nashangaa shangaa mifugo inayouzwa katika mazingira yale. Wengi walikuwa ni kuku,mbuzi, kondoo...