fursa

  1. Fursa ya ajira

    Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery, Sifa Awe anajua vizuri computer na kazi zake. Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda Eneo la kazi ni ukonga mzambarauni aishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kufika make nafungua kumi na mbili kamili...
  2. Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  3. Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  4. Fursa Mpya kwa Tanzania! Starlink Kuleta Mapinduzi ya Intaneti kwa Bei Nafuu na Ubora wa Juu

    Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wote, na ni nafasi yetu kutoa maoni yetu chanya kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuunga...
  5. Fursa za Uwekezaji Tanzania-Mkoa wa Tabora

    Habari za wakati huu; Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa pili kwa idadi ya watu ukaichilia Mkoa wa Dar es Salaam. Kutokana na Idadi hii ya watu Mkoa huu una...
  6. Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  7. Kuna Mwenye fursa ya Kobe, eneo nilipo wanapatikana

    Wakuu nipo mkoa mojawapo wa Kanda ya magharibi hapahapa Tanzania 🇹🇿. Nipo maporini kidgo kwenye fursa ya kilimo..lakini eneo nilipo huku Kuna Kobe wengi maporini. Vipi Kuna fursa ya kuwauza au Na ni hatua Gani Za kufuata nisisumbuke na mamlaka husika,
  8. Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  9. Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  10. Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  11. K

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya

    Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya Habari wakuu... Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship ya mwaka mmoja,kiasi changu cha pesa ni milioni mbili ivi.
  12. M

    Naombeni ushauri kuhusu hii fursa

    Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika. Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana na kampuni mpya inayofanya shughuli zinazofanana na zile za kampuni niliyotoka Ila utofauti ni...
  13. Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

    Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo hata watu wenye ajira za kuchomekea mashati na kuvaa viatu mchuchumio hawapati Nitaorodhesha baadhi...
  14. D

    Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  15. G

    Ukienda mikoa hii kwa nenda kufanya kilichokupeleka, hawapendi watu wanaopenyeza mambo ya uchawa kupitiliza, Case study ni Zuchu

    Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa) Na kama unaingiza mambo ya...
  16. Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  17. CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  18. I

    Fursa za biashara

    Wakuu habari, Naomba mwenye kujua maeneo ya nchi yetu ya Tanzania yenye watu wengi ambayo unaweza kufanya kazi ya UWAKALA wa benki na MITANDAO ya simu kwa mchana na biashara kama chips bila kufunga kwa maana ya masaa 24 nahitaji npate eneo husika mfano mtu akinambia Dodoma mtaa flani itakuwa...
  19. Waziri Ndumbaro Atangaza Fursa Lukuki Tamasha la Tatu la Utamaduni

    WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara...
  20. Fursa adimu ya kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa Mikocheni A, Pata taarifa zaidi"

    " Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa apartments, office block, au hata ukumbi wa starehe. Bei yake ni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…