gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blog ya namna hii inaweza patikana kwa gharama rafiki?

    Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki) Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
  2. K

    Msaada: Gharama za Plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  3. T

    Gharama za kutengeneza Ghala la Chuma (Steel Structure) zipoje?

    Mambo vipi wanajamii forums Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
  4. Raila Odinga: gharama ya maisha imesababishwa na mambo mengi

  5. M

    Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  6. Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

    Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu..... Here's everything we know Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
  7. Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

    Hello JF members! Je inawezekana kupata Toyota Raum DS....and above Kwa Tsh. 7,000,000? Location: Mwanza . Mwongozo wenu tafadhali.🙏
  8. Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  9. Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  10. DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  11. I

    Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  12. Gharama ya kusoma CPA

    Habari za sasa hivi. Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
  13. Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  14. Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  15. Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  16. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  17. Best printer kwa gharama ya 300,000/=

    Wakuu, Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo: -Mpya -Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan -Wino wake usiwe bei sana -Maintenance yake iwe cheap Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer. Natanguliza shukrani
  18. Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

    Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake. Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period Ya pili pia Nasubiri ya tatu Sasa😀 Pesa za p2...
  19. NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  20. Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

    Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. =============== Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…