gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  2. Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  3. A

    KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

    Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
  4. S

    Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  5. Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  6. Gharama ya kujenga frame moja

    Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo, ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi mnisaidie kukadiria gharama za ujenzi wa eneo hilo, nje sitapakarabati sana, nitakarabat kwa mbele tu...
  7. Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

    Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata 3.gongo+mnazi (tembo) 4.x +punyeto 5.download movies kwenye wi-fi 6.audiomack 7.jamiiforum 8.mke mrembo...
  8. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  9. Hili punguzo la leo la Airtel kwenye gharama za voice bundle ni la kudumu?

    Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima. Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
  10. Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
  11. G

    DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  12. W

    Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  13. T

    Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
  14. 0

    Gharama za mahusiano mapya zitanitoa roho

    Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi...
  15. D

    Hayana gharama lakini haya yanatugharimu sana kama taifa la vipofu

    Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria! Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu. Mfano 1.! Kuna umhimu gani kesi za ardhi kuendeshwa zaidi ya miezi 6? Yaani kielelezo cha mgogoro ambacho ni kipande cha...
  16. Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

    Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
  17. Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

    Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa, 1. Lodge (30,000-50,000 TSH), 2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh), 3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2), 4. Uchakavu (50,000 TSH). Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game. NB: Kwa bajeti hii...
  18. N

    Gharama za ujenzi wa ghorofa (labour charge)

    Habari za leo wakuu Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi, Natamani kujua makisio kwa floor 14*17 Naombeni msaada
  19. Waziri Ummy : Wagonjwa wasitozwe gharama za posho ya dereva wala muuguzi ambao usindikiza mgonjwa na ambulance

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari. Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
  20. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…