habari

  1. Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  2. D

    WATANZANIA ELITES: Kabla ya kuja kwa internet, mgogoro wa Middle East mlipataje habari zake??

    Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania?? Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
  3. Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  4. Tathmini ya Utendaji mbovu wa Ramadhani Hamis wa Kitengo cha Habari na Mwanahabari wa Moshi Manispaa.

    Katika muktadha wa utawala na usimamizi wa habari, suala la uwazi na ukweli linapewa kipaumbele cha juu. Hii ni kutokana na umuhimu wa habari sahihi katika kuimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi. Hata hivyo, katika Moshi Manispaa, kuna masuala yanayoonekana kuathiri ufanisi wa...
  5. Taarifa za kuaminika toka ndani zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

    Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
  6. Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  7. Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  8. TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  9. Habari za kununua umeme ETHIOPIA zinafikirisha sana.

    Heshima sana wanajamvi, Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !. Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia. Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...
  10. Je una habari pamba jiji fc imewahi kuongoza ligi msimu huu?

    Ndio, ni ligi hiihii ya futbol kwa mwaka 2024/2025. Najua wazee wa ligi watabisha. Lakini ndoivo chukua chuma hicho [kwa sauti ya zomboko].
  11. Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

    Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF)...
  12. Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

    Niki Rejea katika mstari wa biblia. Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo) Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu Swali langu ni hili Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu? ishara zake ni zipi...
  13. B

    Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

    Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba...
  14. Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  15. Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  16. Huko Jamhuri ya Watu wa X (Twitter) habari ya mjini ni " ka Omari"

    Kuna Dada mmoja anamporomoshea kashfa na kejeli za kila namna mume wake wa zamani, akimwita ka Omari. Mbaya zaidi huyo ka Omari kakaa kimya, hajibu chochote
  17. Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
  18. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  19. B

    Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  20. Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…