Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema.
Leo kila mmoja ana uhakika...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
Poleni kwa majukumu.
Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa.
Kwanza kabisa waandishi hawa ni weupe kichwani kiasi kwamba hadi wanatia aibu, mfano kuna radio na waandishi...
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa.
Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi.
Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
Naombeni kuuliza maana hapa kunawatu wanabishana mmja anasoma diploma in accountance chuo cha TIA Na mwingine DUCE bachelor of education in physics.
Ni nani anaweza kuajiliwa kwa haraka kuliko mwingine japopokwa kunachangamoto ya ajira. Nani anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha mshahara...
Naombeni kuuliza hapa kuna nduguu angu anahitimu chuo kikuu kwa kozi ya bachelor of education in physics,
Je anaweza kutumia cheti cha f4 au f6 kuweza kuanza kozi nyingine mbali na hiyo
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?
Hii tasnia haina seniority?
Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia...
#7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko#
Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au
hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa
za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari
watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...
Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.
nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
13 November 2024 Arusha, Tanzania
CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024
https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 13 November 2024, akiwa na Godbless Lema ambaye ni mwenyekiti...
Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku.
Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake.
Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.