Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni!
Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai!
Haya ndiyo waliyosema Guardian.
Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na kutaka sisi tufanye kazi ya bila kulipwa wakati malipo ya kazi husika yanatoka.
Mfano hivi karibu...
Wana Jamiiforums mko salama?
Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu.
Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na wakazi kuhusu uchaguzi.
Nilijulishwa kuwa takriban Wananchi 10,000 wamekataa kujiandikisha na wameapa...
Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo.
Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi.
Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume.
Utafiti wa hivi karibuni unaoangazia uhusiano kati ya unywaji wa kahawa na hatari ya saratani ya tezi dume ulijumuisha data...
Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.
1: Je, inawezekana?
2: Changamoto zake ni zipi?
3: Je, inabi mchakato uanze lini?
4: Je, inachukua muda gani kukamilika?
5: Ina gharama kiasi gani?
Naombeni kwa anaejua...
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa.
Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha?
Mazishi ni ibada ndugu zangu!
Muda huu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni
https://www.youtube.com/live/IzvkWYUP3hA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.