habari

  1. B

    Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

    04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi mkuu 2025 Jaji Warioba uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa kipekee kwa kuwa ulipangwa uwe na dosari...
  2. Magical power

    Habari ya jioni.

  3. Roving Journalist

    Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) yapinga Serikali kufungia Mwananchi kutoa huduma Mtandaoni

    TAARIFA YA KUPINGA KUFUNGIWA KWA CHOMBO CHA HABARI CHA MWANANCHI DIGITAL Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania, (UTPC) unapinga vikali kitendo cha Serikali, kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufungia kwa muda wa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni ya...
  4. A

    40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  5. Yoda

    Gavana wa Mombasa atuhuhumiwa kutuma wahuni kumlawati mwanamitandao mkosoaji wake

    Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa huku mwenyewe akikiri kutekwa, kuteswa na kulawaitiwa na vijana wawili.
  6. Superbug

    TBC hawajui tofauti ya taarifa ya habari na makala.

    TBC huwa siwaelewi sehemu ya taarifa ya habari wao wanaweka makala
  7. Roving Journalist

    Utoaji wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT), leo September 28, 2024

    https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ndiye Mgeni Rasmi akimuwakilisha Spika Tulia Ackson...
  8. milele amina

    Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  10. G

    Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
  11. Nyani Ngabu

    Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  12. Sina Ndugu

    Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  13. Pang Fung Mi

    Penzi la Mwanamke wa Kimakonde ni habari ya Dunia tumejifungia week na hatuboi yaani kazi kazi.

    Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu Dodo , urefu 170sentimita Kuna makabila ni tunu ya Taifa la Tanzania kwenye anga ya mapenzi, mimi...
  14. Q

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  15. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  16. mahindi hayaoti mjini

    Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
  17. Tlaatlaah

    Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  18. emmarki

    Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  19. F

    Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  20. Nyani Ngabu

    Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka. https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Back
Top Bottom