Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12
Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote
Tutakujuza
Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024
Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.
Today, 10:25 am
3...
I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
Amani kwako mdau.
Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika.
Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali.
Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania.
1. TBC 1 Aridhio
2. TBC 1 Aridhio
3. TBC 1 Aridhio
4. KAIFA ya TBC Taifa
5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa
6. Dira ya mchana...
Jana palikuwa na maandamano ya wamasai ya amani, miongoni katika baadhi ya malalamiko yao mengi walilalamika kwamba wanazuiwa haki ya kupiga kura ilahali wafungwa (prisoners) wanaruhusiwa kupiga kura wakiwa huko magereza.
Pia wamelalamika kukosa haki ya afya bora, elimu bora, makazi pamoja...
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa
Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini?
Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua yoyote.
Angalia hii habari hapa chini, nimejaribu kuziba jina la hiyo media ili kutomchafua kwakuwa...
Wakuu habari.
Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka.
Naomba kujua
Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo.
Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana
Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa
Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa pili Urusi inapambana na Ukraine
Huu ni ushindi mkubwa kwa ukraine
Lakini Cha ajabu Leo wamevamia...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya.
THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili
Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki.
Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mualiko huu unaweza...
Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye...
Hii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.