President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja.
Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka.
Karibu makonda kwenye uwanja ambao unajua kuucheza vizuri sana. Tanzania itakuwa salama mno chini ya Naibu waziri huyu.
Je, kuna mtu mwingine anaweza kuongezea sifa zake?
Baba Kaegani