CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?

Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi alivyojibu kitu ambacho sio kweli. Rais hajahojiwa na media yoyote. Na hata kama angehojiwa isingekuwa media ya vichochoroni kama aliyoitaja Askofu wa CHADEMA. Huyu askofu tumpuuze.

CHADEMA nao wanadai Rais Hichilema wa Zambia kapigwa mawe kwa sababu alihudhuria kuapishwa kwa Rais Samia. Huu ni uongo mkubwa. Waliompiga mawe Hichilema ni wachimbaji wadogo wa madini huko Chingola, Copperbelt Province. Sababu ni mgogoro unaohusu madini. Wachimbaji wadogo wanataka warudishiwe baadhi ya maeneo.

Askofu wa CHADEMA na chama chako acheni huo upuuzi wa kueneza chuki bila sababu.
 
Attachments

  • Screenshot_20251109-092725_Facebook.jpg
    Screenshot_20251109-092725_Facebook.jpg
    183.5 KB · Views: 26
  • Screenshot_20251109-091457_Facebook.jpg
    Screenshot_20251109-091457_Facebook.jpg
    84.4 KB · Views: 27
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?

Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi alivyojibu kitu ambacho sio kweli. Rais hajahojiwa na media yoyote. Na hata kama angehojiwa isingekuwa media ya vichochoroni kama aliyoitaja Askofu wa CHADEMA. Huyu askofu tumpuuze.

CHADEMA nao wanadai Rais Hichilema wa Zambia kapigwa mawe kwa sababu alihudhuria kuapishwa kwa Rais Samia. Huu ni uongo mkubwa. Waliompiga mawe Hichilema ni wachimbaji wadogo wa madini huko Chingola, Copperbelt Province. Sababu ni mgogoro unaohusu madini. Wachimbaji wadogo wanataka warudishiwe baadhi ya maeneo.

Askofu wa CHADEMA na chama chako acheni huo upuuzi wa kueneza chuki bila sababu.
Ww hakikisha unaandaa ushahidi ni wapi Rais wa damu kapata kura 31m, maana vituoni wapiga kura hawakufika hata 5m.
 
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?

Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi alivyojibu kitu ambacho sio kweli. Rais hajahojiwa na media yoyote. Na hata kama angehojiwa isingekuwa media ya vichochoroni kama aliyoitaja Askofu wa CHADEMA. Huyu askofu tumpuuze.

CHADEMA nao wanadai Rais Hichilema wa Zambia kapigwa mawe kwa sababu alihudhuria kuapishwa kwa Rais Samia. Huu ni uongo mkubwa. Waliompiga mawe Hichilema ni wachimbaji wadogo wa madini huko Chingola, Copperbelt Province. Sababu ni mgogoro unaohusu madini. Wachimbaji wadogo wanataka warudishiwe baadhi ya maeneo.

Askofu wa CHADEMA na chama chako acheni huo upuuzi wa kueneza chuki bila sababu.
Hivyo unapanga kumteka naye au,kumbambikia uhaini!
 
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?

Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi alivyojibu kitu ambacho sio kweli. Rais hajahojiwa na media yoyote. Na hata kama angehojiwa isingekuwa media ya vichochoroni kama aliyoitaja Askofu wa CHADEMA. Huyu askofu tumpuuze.
Ulichokioana wewe ni nini? Mahojiano au sio mahojiano?
CHADEMA nao wanadai Rais Hichilema wa Zambia kapigwa mawe kwa sababu alihudhuria kuapishwa kwa Rais Samia. Huu ni uongo mkubwa.
Kumbe kapigwa mawe na wananchi wake. Lakini sio kwa sababu ya Samia a.k.a Idd Amin Dada a.k.a Jezebel a.k.a mnywa damu za Watanganyika? So what?

Iwe iwavyo, wewe unadhani Kiongozi mkuu wa nchi kutendewa hivyo na wananchi wake ni sawa?

Bado huyu wa hapa Tanganyika, Mzanzibari mpuuzi anayejilazimisha kututawala Watanganyika kwa nguvu bila ridhaa yetu, mama yenu Samia a.k.a Jezebel. Nakuhakikishia tutamsaka na tutamkamata na kumuua live barabarani kama alivyoua ndugu zetu Watanganyika kwa maelfu☹️☹️☹️, BELIEVE IT OR NOT!
Waliompiga mawe Hichilema ni wachimbaji wadogo wa madini huko Chingola, Copperbelt Province. Sababu ni mgogoro unaohusu madini. Wachimbaji wadogo wanataka warudishiwe baadhi ya maeneo.
OK. Acha tuamini utetezi wako. But, What's the difference? Kwa sbb (kwa akili yako) hujaona kama kahusishwa na Samia na CCM yake?

Ukitazama hiyo video huoni mashimo ya migodi ya hao wachimbaji wa madini Bali unaona wananchi wakimzomea na kumrushia maneno makali na mawe Rais wao.
Askofu wa CHADEMA na chama chako acheni huo upuuzi wa kueneza chuki bila sababu.
Chuki ilishapandwa na wapuuzi na Jezebel Samia mwenyewe akishirikiana na wahuni wenzake ndani ya CCM

Wewe mlamba viatu huwezi kujua hili..

Chuki ilishapandwa na Jezebel Samia mwenyewe kwa kuwaua vijana wetu, watoto wenu, ndugu zetu maelfu kwa maelfu, baba zetu na mama zetu wasio na hatia eti tu kwa sbb walikuwa wakipinga dhuluma ya kiuchaguzi, walikuwa wakidai haki yao ya kuchagua viongozi wawatakao kupitia chaguzi huru, za haki na za wazi

Nyie CCM na wahuni wenzenu huko ndio wahaini na wahalifu halisi mnaostahili kukutana na mkono wa sheria, NA ITAKUWA HIVYO SOONER AND NOT LATER

VITA YA KUWAFUATA NA KUSHUGHILIKA NA NINYI NDO TU IMEANZA
 
Tulipikuwa tukisema, CCM ina watu wajinga na wa hovyo, haukuelewa?

Wewe hapo pia ni mjinga
 
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?

Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi alivyojibu kitu ambacho sio kweli. Rais hajahojiwa na media yoyote. Na hata kama angehojiwa isingekuwa media ya vichochoroni kama aliyoitaja Askofu wa CHADEMA. Huyu askofu tumpuuze.

CHADEMA nao wanadai Rais Hichilema wa Zambia kapigwa mawe kwa sababu alihudhuria kuapishwa kwa Rais Samia. Huu ni uongo mkubwa. Waliompiga mawe Hichilema ni wachimbaji wadogo wa madini huko Chingola, Copperbelt Province. Sababu ni mgogoro unaohusu madini. Wachimbaji wadogo wanataka warudishiwe baadhi ya maeneo.

Askofu wa CHADEMA na chama chako acheni huo upuuzi wa kueneza chuki bila sababu.
Unajua nyie wanawake huwa mna mood swings, sasa we mama samia umeandika nini hapa? Au ndio mood swings?
 
Ulichokioana wewe ni nini? Mahojiano au sio mahojiano?

Kumbe kapigwa mawe na wananchi wake. Lakini sio kwa sababu ya Samia a.k.a Idd Amin Dada a.k.a Jezebel a.k.a mnywa damu za Watanganyika? So what?

Iwe iwavyo, wewe unadhani Kiongozi mkuu wa nchi kutendewa hivyo na wananchi wake ni sawa?

Bado huyu wa hapa Tanganyika, Mzanzibari mpuuzi anayejilazimisha kututawala Watanganyika kwa nguvu bila ridhaa yetu, mama yenu Samia a.k.a Jezebel. Nakuhakikishia tutamsaka na tutamkamata na kumuua live barabarani kama alivyoua ndugu zetu Watanganyika kwa maelfu☹️☹️☹️, BELIEVE IT OR NOT!

OK. Acha tuamini utetezi wako. But, What's the difference? Kwa sbb (kwa akili yako) hujaona kama kahusishwa na Samia na CCM yake?

Ukitazama hiyo video huoni mashimo ya migodi ya hao wachimbaji wa madini Bali unaona wananchi wakimzomea na kumrushia maneno makali na mawe Rais wao.

Chuki ilishapandwa na wapuuzi na Jezebel Samia mwenyewe akishirikiana na wahuni wenzake ndani ya CCM

Wewe mlamba viatu huwezi kujua hili..

Chuki ilishapandwa na Jezebel Samia mwenyewe kwa kuwaua vijana wetu, watoto wenu, ndugu zetu maelfu kwa maelfu, baba zetu na mama zetu wasio na hatia eti tu kwa sbb walikuwa wakipinga dhuluma ya kiuchaguzi, walikuwa wakidai haki yao ya kuchagua viongozi wawatakao kupitia chaguzi huru, za haki na za wazi

Nyie CCM na wahuni wenzenu huko ndio wahaini na wahalifu halisi mnaostahili kukutana na mkono wa sheria, NA ITAKUWA HIVYO SOONER AND NOT LATER

VITA YA KUWAFUATA NA KUSHUGHILIKA NA NINYI NDO TU IMEANZA
Maandishi mengi uharo mtupu.
 
Tuoatie taarifa sahihi zaidi ya kubwabwaja kama kenge!

Nadhani sasa tupate majina ya waliouwawa ikionyesha mkoa na tarehe.
 
Back
Top Bottom