habari

  1. albo_stunz

    Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  2. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  3. ngara23

    Taarifa za habari kutoka kwenye media zetu zinaboa sana

    Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala 6. Upungufu wadawa 7. Ugomvi wa wakulima na wafugaji 8. Ufisadi. 9. Ubakaji 10 Njaa n.k 11...
  4. Eli Cohen

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  5. Bususwa

    Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal...
  6. A

    KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  7. S

    Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  8. Mad Max

    Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  9. George johnson

    Habari za jioni

    Nilipotea muda mrefu hapa baada ya kupata shida ya kulog in , ila now nimefanikiwa baada ya ku reset password
  10. Poppy Hatonn

    Wakazi wa Tegeta hawana habari sakata la kada wa CHADEMA kutekwa.

    Nimepita Tegeta juzi kuuliza yule kada alitekwa wapi,wale watu mostly waliniuliza "kwani yupo kada wa Chadema alitekwa?" Halafu yule mmoja akaniambia,"Ah yes,hata mimi nilisikia kwamba alitekwa pale Mbele." Inaonyesha tukio lenyewe lilifanyika without fanfare na lilikuwa not noticed by many.(...
  11. T

    SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  12. Ritz

    Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
  13. THE FIRST BORN

    Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  14. C

    Wakuu habari

    Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
  15. ngara23

    Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

    Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk...
  16. daydreamerTZ

    Natafuta gazeti la Habari Leo la tarehe 04/08/2024

    Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo. Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo...
  17. Mad Max

    Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

    Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300! Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951. Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio...
  18. kitonger

    Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

    Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi). Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat. Namba zangu ni 0654102984.
  19. and 300

    Waandishi wa Habari TZ ni makada?

    Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu? 1. Vijana, 2. Ukosefu wa ajira? 3. UTEKAJI/abductions, 4. Kuwawezesha wanawake? 5. Ulinzi wa watoto? 6. Mabadiliko ya tabia ya nchi/mazingira? NB: Zaidi ya kuripoti mikutano ya viongozi, matamasha? vikao vya bunge?
  20. Li ngunda ngali

    Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
Back
Top Bottom