PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Larry.png

Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.

Laana hii ya mama mjamzito kulimwa shaba tena ya mgongo na polisi (like stupid cowards they are)ikawa juu ya polisi waliohusika na kizazi chao,Samia na kizazi chake,Jk na kizazi chake na kama Mungu wangu aishivyo laana hii haitamwacha yeyote aliyehusika,labda kama Mungu wangu amekufaaa.
 
Hakuna picha hata moja inayoonyesha watu wakipambana na polisi; lakini whao wenye silaha wanalenga watu wanaokimbia na kuwaua.
Kwa hiyo lengo lilikuwa ni kuua, na wala siyo kuzuia vurugu au kujikinga wasiidhurike wakati wakizuia vurugu.

Huu ulikuwa ni uuaji uliodhamiriwa.
 
Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.

Kuna matapeli wakiongozwa na akina Steve Nyerere na wenzao wamechukua dola milion moja kwa kisingizio cha kwenda kuzuia Habari isitoke, maccm ni wezi wanachezea pesa za walipa kodi, pesa imepigwa na Habari imetoka sasa wapo kuwanunua wahariri wa CNN wasitoe Habari zaidi
 
Unajua at first nilitegemea kitu kipya sanaaaa ila naona ni kawaida hata mtaani voice inangizwa na picha zote na video zipo twitter.
 
Wizi wa pesa za walipa kodi unaendelea kuwalipa Polisiccm kutembeza vitisho kuzuia video picha mitandaoni, kuwabambikia watu kesi za uhaini, na sasa kuna Tume ya majaji wa ccm imeundwa kula pesa za bure kwani hakuna kazi watafanya CNN wameweka kila kitu wazi , sasa wezi wapo CNN wamepeleka Rushwa kuzuia CNN kuwa na mwendelezo mpigie 0717027973 anajua siri zote atakupeni
 
Laana hii ya mama mjamzito kulimwa shaba tena ya mgongo na polisi (like stupid cowards they are)ikawa juu ya polisi waliohusika na kizazi chao,Samia na kizazi chake,Jk na kizazi chake na kama Mungu wangu aishivyo laana hii haitamwacha yeyote aliyehusika,labda kama Mungu wangu amekufaaa.
RPC wa Arusha, Dar, Mwanza mbeya, Songwe walitakiwa wawe wamefukuzwa kazi mda huu na wameshitakiwa ICC
 
Hakuna picha hata moja inayoonyesha watu wakipambana na polisi; lakini whao wenye silaha wanalenga watu wanaokimbia na kuwaua.
Kwa hiyo lengo lilikuwa ni kuua, na wala siyo kuzuia vurugu au kujikinga wasiidhurike wakati wakizuia vurugu.

Huu ulikuwa ni uuaji uliodhamiriwa.
Hakujuwa na juhudi zozote za Kuzuia, kama zingekuwepo basi tungeona yale magari ya washawasha, na tear gases nyingi, lakini intention ilikuwa ni kuua tu, na haikuwa bahati mbaya.
 
Kuna matapeli wakiongozwa na akina Steve Nyerere na wenzao wamechukua dola milion moja kwa kisingizio cha kwenda kuzuia Habari isitoke, maccm ni wezi wanachezea pesa za walipa kodi, pesa imepigwa na Habari imetoka sasa wapo kuwanunua wahariri wa CNN wasitoe Habari zaidi
Uzuri wa international medias ni kuwa Ukiwaambia wanatuambia.
 
Mkuu hiyo ni media, ulizoona wewe zilikua kwa watu na sio kwenye media kubwa kama hiyo
Ni sahihi mimi nilitegemea kitu kipyaa sanaaa ila ni kama nao wamechukua kilekile kilichopo mtandaoni

Kaprove watu wawili kupigwa risasi... Makaburi watu wanaoshabikia hajaconferm ila kasema inawezekana hii ni idea ambayo ilikueponsince day one.
 
Hata hujui unazungumzia kitu gani; mradi tu uonekane nawe umechangia kutetea uovu!

Nani na kwa nini "watu washabikie makaburi"; unadhani hapa kuna ushindani juu ya waTanzania kuuliwa?

"...hajaconferm ila kasema inawezekana, hii ni idea ambayo ilikueposince day one"... kwa hiyo wewe unasemaje kwa kuwa yeye hakusema hayo makaburi hayatakuwepo? Hili linakupa matumaini yapi wewe kwa Samia kuendelea kuua waTanzania?
 
Back
Top Bottom