City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu ulitegemea kitu kipya kama kipi?Ni sahihi mimi nilitegemea kitu kipyaa sanaaa ila ni kama nao wamechukua kilekile kilichopo mtandaoni
Kaprove watu wawili kupigwa risasi... Makaburi watu wanaoshabikia hajaconferm ila kasema inawezekana hii ni idea ambayo ilikueponsince day one.
CNN hawakuwahi kutoa habari ya kilichotokea tarehe 29, walichofanya ni kutoa hiyo habari ya kilichotokea
Mfano; Bus lipate ajali mtwara, Kuna media zitaanza kureport mfano tbc, wasafi, itv, crown fm n.k. lakiini haitazuia pia media kama clouds fm au efm kutoripoti hiyo ajali