Hayupo mwanasiasa atakuletea ajira akwambie hii hapa HAYUPO.
Hakuna mwanasiasa atakuletea debe la unga akwambie kapikie watoto HAYUPO.
Hayupo mwasiasa ataacha kujilipa posho eti kwa sababu vijana hawana ajira. HATAKUJA KUTOKEA.
Hakuna mwanasiasa atakae badili mfumo wa elimu kwa ajili yako. HAYUPO.
Haitakaa itokee tatizo la ajira likaisha 100% HILI NI JANGA LA DUNIA.
Bangi na madawa ya kulevya ni sehemu mfumo wa dunia TUTAPUNGUZA ILA HATUTAMALIZA.
Familia yako Jukumu lako, maisha yako ni mipango na mapambano yako tena yako binafsi HAKUNA maisha Jumuishi. Tunakutana, tunacheka, tunalia, tunacheza, tunaandamana. MUDA UKIFIKA TUTAKAA WENYEWE NA MAISHA YATUKUA BINAFSI NA SIO KUNDI.