Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali.
Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000 haufiki mwezi ni kama siku 23 au 24 na matumizi ni yale yale ya kila siku.
Kuna kijana jirani yangu ana fanya welding kwa siku walikua wakitumia umeme wa 8,000 na wanapata umeme wa kuanzia kesho, ila tokea wafunge mita mpya wanatumia umeme wa 13,000 kwa siku.
Serikali kupitia TANESCO waangalie jambo hili, wanaumiza watanzania.
Soma pia: KERO - TANESCO badilisheni mita za umeme 'kausha damu' mnatuumiza sana