Habari.....
Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai.
Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...