haki ya kikatiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Haki ya kikatiba vs vikosi vya ulinzi: kauli ya sheikh mwaipopo na ukimya wa polisi unatafsiri gani?

    Wakuu, Nadhani wengi wenu mmeona au kusikia taarifa za mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na Sheikh Said Mwaipopo mnamo Juni 20, 2026, kuelekea maandamano yaliyopangwa ya tarehe 7 Julai (Saba Saba). Katika kauli yake, ametishia kuwepo kwa "kikosi kazi maalum" kitakachowashughulikia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uhuru na haki ya kikatiba ya kuandamana kenya inawaangamiza gen z wenyewe?

    Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe? Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuboresha taarifa zake awamu ya pili inamaanisha yeye mwenyewe haamini kama atatoboa?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kutokujitokeza kujiandikisha au kuhuisha taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ni sawa na mtu kukataa haki yake ya kikatiba kwa hiari, jambo ambalo siyo uzalendo. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Mei...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Haki ya kupiga kura siyo haki ya Kikatiba, hata mahakama haiwezi kukusaidia ukienda kudai haki hiyo

    "Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma nakadhalika, hizo zinazoitwa haki za binadamu ndizo haki za kikatiba, kama kuna kitu hakijaandikwa kuanzia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna siku mgogoro huu wa Kikatiba utaibuka na utaitingisha nchi

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria zetu za uchaguzi zinataka mtu ukigombea nafasi yoyote ya kisiasa ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na kinachotambulika. Kwa msingi huu wa sheria ina maana ukipoteza unachama wako ina maana umepoteza pia sifa...
  8. JamiiForums Tanzania Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) chaburuzwa Mahakamani kwa kukiuka Haki ya Kikatiba

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kanda ya Tabora kimefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukiuka haki ya kikatiba dhidi ya Mohamed Thabiti Nombo, mkazi wa mkoa wa Tabora. Kesi hiyo, yenye namba 31308 ya mwaka 2024, inasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa mkoa wa Tabora chini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…