haki

  1. vvvv

    Laban Og apigwe ban ya week kama alivyoomba, haki itendeke

    Huyu member aliweka uzi hapa jukwaani kwamba akiwa na akili timamu Simba ikifunga apigwe ban ya week. Naomba apate haki yake hii tabia ya kutoa ahadi tu halafu mods hamtekelezi itaota mizizi humu JF naomba haki itendeke.
  2. gaintoo broisser

    Hivi wanaohusika na haki za waajiliwa ni Taasisi ipi?

    Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga. Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri huwa wanatishia na Kusema Kanishitaki Popote Siwezi Kukulipa Mshahara wako adi nipende Mimi...
  3. Pascal Mayalla

    Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  4. Curtis De Mi Amor

    Msaada: Niliingia mkataba wa bajaji kwa miaka miwili, baada ya miezi 20 nimepokonywa bajaji

    Ni haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=. Nimefanya kazi kwa muda wa miezi 20, huyo mdau kaninyang'anya chombo kwa Madai anamadeni benki hivyo inabidi aiuze ili apunguze deni. Nimejaribu sana kufuatilia kwa watu mbali mbali kuona...
  5. JanguKamaJangu

    LHRC: Kukiuka haki ya afya ni kukiuka haki ya kuishi kinyume na Ibara ya 14 ya Katiba

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa takribani juma moja sasa kimekuwa kikifuatilia kwa karibu mjadala ulioripotiwa katika baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mgogoro kati ya watoa huduma wa afya kutoka sekta binafsi pamoja na Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya...
  6. P

    Mpaka taasisi zinagoma, sisi raia ndio wavumilivu sana na waelewa sana kila tunapopewa huduma mbovu na kunyimwa haki zetu?

    Wakuu, Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu? Tunalipia huduma hizi ni haki yetu kupata kilicho bora. Tunanyonywa na kodi za kila aina kwanini hatu-DEMAND kupata...
  7. B

    Jaji mkuu Prof. Ibrahim Juma: Majaji mzingatie mizani ya haki, msiyumbishwe na mitazamo ya watu baada ya hukumu kusomwa

    26 February 2024 PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c Video courtesy of millard ayo Na Mary Gwera, Mahakama-Arusha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji Wafawidhi wa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na ufahamu. Jamii yote ya viumbe wenye utashi ikiwemo binadamu ielewe kuwa Hakuna namna nyingine ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  10. P

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  12. Nsanzagee

    Chama cha haki na kilichokubalika kwa Mungu, mtu, au taasisi kupitia dini akipinge, ni kujichosha tu! CHADEMA ina kibali bwana!

    Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni? Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
  13. Shining Light

    Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  14. R

    Nikiangalia safu ya juu ya viongozi wa tume ya uchaguzi sioni dalili za uchaguzi huru na haki naona wizi utakaowakwaza wenye njaa

    Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
  15. Miss Zomboko

    Ni muhimu kumfundisha mtoto kuwa, kila mtu ana haki ya kusema ndio au hapana pale mtu akitaka kuvuka mipaka yake binafsi

    Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  17. K

    Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract. Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya miezi mitano mwajili anesitisha mataba wake akisema amebanisha new streams of activities hivyo kwa kuwa...
  18. J

    CHADEMA hamjamtendea haki Mzee Lowassa

    CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga mahekaru Yao na kuishi kifalme huku Chama kikibaki mifupa Mitupu. Sikutegemea hata kidogo Kuona...
  19. SAYVILLE

    AFCON 2023 imefana sana kwa sababu ya maamuzi ya haki ya waamuzi waliochezesha mechi zake

    Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
  20. Nsanzagee

    Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
Back
Top Bottom