Ndugu zangu habari za leo.
Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema.
Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii.
Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala.
Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
Kuna hoja imeibuliwa na CHADEMA kuwa kila Jimbo la Uchaguzi kuwe na Wabunge wawili yaani mmoja awe Mwanaume na mwingine awe Mwanamke.
Binafsi naona hii ni neema kwa akina mama na ile dhana ya uwakilishi ya 50/50 itakuwa imetimia. Akina Mama tokeni hadharani na mpigaie haki zenu.
Napingana...
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa.
Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo.
Kama wao wamesema kuhusu...
Hoja yangu kama inavyojieleza, hivi haya matukio ya Fatuma Karume, na swala la Mwambukusi wajuvi au wasomi wetu wa Sheria imekaaje na ukimya wa TLS?
Je, haki ilitendeka au ndio ile funika kombe mwanaharamu apite?
Kiukwel inanitia shaka juu ya mstakabali wa wasomi wetu wenye uelewa wa kutokuwa...
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI)
Haki mimi ni dada yangu.
Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu.
Siku...
Wanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kupokea maoni ya sheria mpya ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Wanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
•...
Ni aje waungwana,
Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata...
Wanabodi,
Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai.
Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.
Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana...
Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu
Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na...
Dini ya haki dini ya haki!
Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas.
Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana.
https://twitter.com/visegrad24/status/1740517117882155219?t=NxTjtWOQhE8yVkNi4H5WfQ&s=19
Habari wakuu,
Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector.
Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja.
alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili.
Sasa...
1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi.
3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.
Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.
Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.