Kuishi kwingi ni kuona mengi
Watoto na vijana wanaambiwa, nyinyi mna mbio, lakini sisi wazee twazijua njia
Ni hivi mjukuu wangu, upatapo chochote kitu, mega sehemu ndogo jipe raha, kama wewe ni mzee wa pombe, jimiminie balimi zako baridi kabisa upate na mdudu laaana kidogo ukapumzike na mpenzi...