Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa.
Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao wamefukuzwa hivyo hawana sifa ya kuwa wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano.
Wanasema sababu ya...
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho.
"Aandike barua...
Mimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
Siasa ni ya ajabu sana wakati hili linashangaza watu wengi, yaani ukikumbuka nyuma ni ngumu kuitaja Chadema bila kumtaja Mdee lakini leo ni mamluki.
Chakushangaza zaidi kesho utasikia wako tena pamoja na wanatwambia hakuna adui wala rafiki wa kudumu ndani ya siasa.
Hata hivyo ninakaswali ka...
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ramadhan Kareem.
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa.
Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!
Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge...
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja...
Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite!
Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha Hayati Rais Magufuli kuhusu wanafiki walio mzunguka!
Nilimwambia akiondoka madarakani hakuna hata...
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni vijana pia, bado hata umri wa busara haujafika. Namuaonya tu, hamna njuka hapa.
Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo.
Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
Haki inayocheleweshwa ni haki inayominywa hivyo ni vema uongozi wa juu wa Chadema ukawatendea hski wabunge wake kwa kusikiliza rufaa zao mapema.
Kwa sasa haijulikani mwenyekiti wa Chadema taifa yuko wapi na yeye ndio mwenyekiti wa kikao cha Baraza kuu kitakachosikiliza rufaa za wabunge hao...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James
Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana.
Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto"
Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru.
Maendeleo hayana vyama.
Na wanaweza kufanya vizuri bungeni na watanzania wengi wakashangaa kwa sababu watakuwa wanatenda kwa kumaanisha na siyo kutafuta kiki.
Mama Makinda amesema wao waliunda self made opposition iliyotakiwa sana na Nyerere ili kuikosoa serikali na kwamba walikuwa wakali kuliko hawa akina Freeman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.