Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19.
Ni jambo jema.
Maendeleo hayana vyama!
Mnyukano wa kugombania madaraka ndani ya Chadema sasa umethibitika. Tayari Hilda Newton na Devotha Minja wameanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha. Wanafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba Mdee na wenzake hawarudi. Wanatumia nguvu kubwa kupamba na kundi la kina Mdee kuliko nguvu ambayo...
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao. Na kwa mujibu wa sheria mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa.
Mgaya anasisitiza...
Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho.
Chanzo: Mwananchi
My take; Hongereni kwa kuzingatia muda.
Maendeleo hayana vyama!
====
Mwezi mmoja tangu wabunge 19 wa Viti Maalum waliokuwa...
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .
Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.
Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo...
Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki.
Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga
Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki.
Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli.
Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema...
Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa)
Sehemu ya Kwanza.
Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika...
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa...
Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje?
Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge?
Naomba vifungu vya Katiba...
Nianze kwa kukiri kwamba nilifurahishwa kiasi kumuona Halima akitueleza vile mama yake alivyompa neno la faraja kutoka kitabu cha zaburi 35 katika masaibu yake.
Ni tabia njema upande m moja kuona Watu wanakimbilia msaada wa vitabu vitakatifu kwa ajili ya faraja au hata kupata ufumbuzi wa...
Leo, kama Mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari.
Mhe. Mdee alikuwa mzungumzaji mkuu wa waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA. Ni...
Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
ZABURI 35
Kuomba msaada
(Zaburi ya Daudi)
1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga;
uwashambulie hao wanaonishambulia.
2 Utwae ngao yako na kingio lako,
uinuke uje ukanisaidie!
3 Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia.
Niambie mimi kwamba utaniokoa.
4 Waone haya na kuaibika...
Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
Mengine yaliyopita yote tunayaelewa...
Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused". Hajali sheria wala taratibu ama katiba ya nchi tena...
Spika Ndugai na wenzake huko CCM chini John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.