Kweli Mama Samia anaupiga mwingi, Ajira zinazomwagwa Sasa hv na Halmashauri mbalimbali nchini ni kufuru yaan Kila Halmashauri Ajira kibao Watendaji wa mitaa, mabwana Shamba na mifugo, madereva, maafisa manunuzi. Tembeleeni tovuti za halmashauri mbalimbali ili mufahamu namna ya kuomba kazi hzi...