halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  2. Kwanini watumishi wa Halmashauri wana nyodo sana tofauti na watumishi wa Wizara?

    Habari wadau..!! Wiki hizi mbili tatu nimekuwa busy sana na kuzunguka kwenye hizi taasisi za kiserikali. Katika mizunguko yangu nimejifunza kwamba hawa watumishi wa halmashauri ni viburi,nyodo nyingi tofauti kabisa na wale watumishi wa ofisi za wizara. Kibaya zaidi unaenda ofisi za...
  3. Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  4. Halmashauri nyingine ziige hili la jiji la Mbeya kujenga English medium za Serikali

    Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3. Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
  5. Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  6. Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  7. Wakurugenzi wa Manispaa/ Halmashauri kuiba mali au fedha za serikali, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

    Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi! Hii hali haikomi? Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
  8. Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  9. Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  10. Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  11. Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  12. Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  13. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  14. TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  15. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  16. S

    Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kunani?

    Wilaya ya Tunduru ni mojawapo ya wilaya za mkoa wa Ruvuma ikiwa mpakani mwa nchi ya Msumbiji. Nauliza hii halmashauri ina mkurugenzi kweli? Nauliza kwa sababu wakati tunasajiliwa km walimu wapya walioajiriwa mwezi wa 6 mwishoni tulifanyiwa mambo ya hovyo kweli. Idara yao ya utumishi na ofisi ya...
  17. K

    NEMC na Halmashauri ya Ubungo

    Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.
  18. Naibu Waziri Mawasiliano awataka wataalam wa TEHAMA Halmashauri kutosha katika nafasi zao

    MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO Na Mwandishi Wetu, TANGA Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wataalam, wabunifu na wabobezi wa...
  19. Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

  20. Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…