Ukipita kwenye wikipedia pages zinazozungumzia miji au maeneo ya wenzetu unajihisi umeshafika. Wanaeleza kila kitu kwa mapana yake.
Historia, jiografia, hali ya hewa, uchumi, siasa, elimu, afya, utalii nk wanaambatanisha na picha za kutosha. Ila hizi za kwetu ni uzembe mtupu. Unakuta mistari...