halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

    Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
  2. Rais Magufuli tuachie zawadi ya Halmashauri zetu kujiendesha

    Wewe ni msimamizi mzuri na ukiamua kitu kinafanyika mifano ipo hai kama Makao makuu yetu kuhamia Dodoma wengine hawakuamini na walifikiri ni usanii lakini sasa hivi Mji wetu Mkuu Kikatiba kabisa ni Dodoma. Hivyo basi binafsi naamini kama Halmashauri zetu nchi nzima zikiweza kutumia sehemu ya...
  3. B

    Kodi ya ardhi hulipiwa Halmashauri au Wizara ya Ardhi?

    Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
  4. D

    Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  5. Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Magu, usiwatetee na kuwalinda waalimu wasiokidhi vigezo vya Ualimu Mkuu; unawavunja moyo wanaostahili nafasi hizo

    Nawasalimu wanajukwaa. Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi. Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
  6. Mtendaji wa Kijiji, Halmashauri ya Mji wa Kasulu - Kigoma

  7. Uchaguzi 2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

    Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu...
  8. Halmashaurini kuna posho?

    Habari, naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
  9. Q

    Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  10. C

    Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  11. Uchaguzi 2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  12. Nafasi za Kazi halmashauri ya Wilaya ya Makete

  13. Communications, M&E and Admin Senior Intern at SNV

    Communications, M&E and Admin Senior Intern Arusha, Tanzania Intern Contract type: Internships Company Description SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
  14. Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

    Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta. Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
  15. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  16. Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  17. Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  18. Nafasi za kazi za muda NEC, Halmashauri ya Hai

  19. Nafasi za kazi za Muda Halmashauri ya jiji la Arusha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…