haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Kwanini miradi mingi ya serikali inachelewa huku miradi binafsi ikikamilika kwa haraka na viwango?

    Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini? 1. Ukiritimba? 2. Usimamizi mbovu? 3. Poor project planning? 4. Ukosefu wa fedha? Naomba wajuzi wa...
  2. Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

    Hello Jf. Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi) Je, lengo lenu la kufunga lilitimia? Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
  3. SoC04 Ujuzi mashuleni ili kutengeneza kizazi cha kujitegema na kufanya nchi kukua kiuchumi kwa haraka

    UTANGULIZI: Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya. UMUHIMU WA ELIMU I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
  4. N

    Msaada wa haraka unahitajika

    Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
  5. USHIRIKIANO HUU UNACHOCHEA MAENDELEO KWA HARAKA SANA VIJIJINI

    hamasa na shauku walionayo wananchi hususani vijijijni, ya kuanza kutekeleza miradi ya maendeleo kulingana na vipaumbele vya mahitaji yao, inakwenda kutrasform maisha yao kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa haraka sana... serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika maeneo husika, wamehamasika...
  6. O

    SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  7. Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  8. R

    Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  9. DOKEZO Vilio vya Wastaafu wa majeshi vitatuliwe haraka, kinachoendelea ipo siku kitatengeneza ‘matunda yasiyofaa’

    Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
  10. MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  11. Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

    Huwezi ita swala la internet jina zuri hivyo halafu kumbe hata internet yenyewe huimiliki. Taifa la watu zaidi ya milioni 50 tunashindwa kuwa na internet yetu wenyewe? Akitokea kichaa mmoja tu huko internet tunako nunua akakata waya mchi mzima mtandao unayumba? Anyway wajuvi najua mtakuja...
  12. T

    House keeping wanahitajika haraka

    Hoteli ya Lahe hotels Mwanza inahitaji Kuajiri proffessional mfanyakazi wa vyumbani kwa mshahara 150000/= tafadhali wasiliana na meneja 0715450012 au 0655290084.
  13. SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  14. Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  15. Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
  16. G

    Mke anahitajika haraka

    Mimi ni: Kijana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa afya. Na hofu ya Mungu. Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi. Na kazi inayompatia...
  17. Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  18. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  19. Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

    Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
  20. Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…