harmonize

  1. Harmonize, Huo ni Ushamba

    Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video. Wasanii idea za video na...
  2. Harmonize na Konde Gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar kama mlezi wao

    Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao. Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo. Sio mbaya lakini.
  3. Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

    Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba watu wote kuiombea Nigeria. === Hatua hiyo imeonekana...
  4. Hivi Gwaji boy anamchukuliaje Harmonize

    Amani iwe nanyi. Huwa najiuliza sana ivi Gwajima anamchukuliaje Harmonize .? Kuna ule mstari ktk nyimbo ya harmonize UNO kuna kipande kinasema "NDO LILE GWAJIMA ALILOMPATIA KONDOO" Unooo ooh Ukizingatia Gwaji mwenyewe kwasasa ni MGOMBEA UBUNGE sasa unakuta kwene majukwaa yachama Harmonize...
  5. C

    Zanzibar 2020 Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

    Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support. Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja. PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar PROMO:
  6. Mtaalam wa Kijeshi: Harmonize ametuaibisha Makomandoo kwani alitua Kishamba na Kizembe kama gunia la viazi mbatata

    "Nilikuwa naliangalia lile tukio zima ila nilipoona tu ghafla Msanii Harmonize anapita juu kwa ile Kamba kama Mtu wa Medani nilichukizwa mno kwani hakuonyesha hata tu 5% ya kwamba Yeye ni Mjeshi na alikosea mambo mengi ya Kimsingi sana huku ile tua yake kama Gunia la Viazi Mbatata limerushwa...
  7. Show ya Harmonize Yanga Day

    Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.
  8. Wimbo wa Harmonize Yanga umekuwa Number 1 trending: Diamond alipia post ili kujaribu kumshusha

    Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili kuutangaza wimbo wake wa Simba na pengine aweze kumpiku tena Konde Boy
  9. Harmonize wimbo wa Yanga usingeimba singeli ungetoboa sana, hapa ni kama umecopy na kupaste tu

    Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno. Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa...
  10. Harmonize kuja na Carnival akishirikiana na TVE

    Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure...
  11. M

    Harmonize, asante kijana umemuimbia mzee wetu kwa hisia

    Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo. Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi. Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli...
  12. Hii style ya Harmonize kuchukua beat na kurudia nyimbo atakuwa ametoka nayo huko alikotoka?

    Salama wakuu! Ipo hivi najua kila mtu ashasikiliza ile album yake sasa mle naona kama kuna nyimbo nyingi nyingi kachukua beat mfano wimbo wa "body" harmonize ft burna boy, kachukua beat na neno "Show me the way" wa kwake Papa wemba, tuje wimbo wa Hainistui kachukua beat ya Mr. Nice na huyo...
  13. Hakuna video kali mpaka kesho kama ya Harmonize

    Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho. Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality ni HD. Story nzuri. Huwezi amini location ni Manyara ,Babati Japo audio sio nzuri ila hiki kichupa...
  14. U

    Sikiliza wimbo wa Rosa Ree ambao Harmonize alitumia beat yake bila ruhusa na kusababisha Rosa kumshtaki

    Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa. Asubuhi ya leo wimbo huo...
  15. Msanii Harmonize: Wasanii wanaitaji Tuzo ili kuleta heshima kwenye "Music wa Tanzania"

    Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako isipofikisha Million 1 (views) ndani ya siku mbili basi hiyo ngoma sio bora" "Kushindania views...
  16. Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

    Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. NB: kumbe WCB walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
  17. Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Mwanamuziki Rajab Abdul, maarufu Harmonize ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika Jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli kupendekeza afanye hivyo. Akizungumza na TBC1, mwanamuziki huyo anayetamba na nyimbo kadhaa ikiwamo Bed Room...
  18. Harmonize anapojipima msuli

    Mwanaume kamili haogopi vita , tuna slogan yetu , get rich or die trying , mara nying sasa kumekuwa na hali ya kumshindanisha Harmonize na Nguli wa bongo Fleva Diamond Platnumz , na hii inachagizwa na kauli za Harmonize kuonyesha vinasaba vya kukubali kushindanishwa huko. ,Hvi karbun Ibra...
  19. Tuache utimu: Kuna nyimbo inayofikia hata "Matatizo" tangu Harmonize aanze kujitegemea

    Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k Kwa sasa kwanza niseme tu kijana kajipa mzigo mkubwa kwa hulka nazoweza kusema za kuonyesha watu kwamba anaweza zaidi...
  20. Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

    Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…