harmonize

  1. MSAGA SUMU

    Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  2. JF Member

    Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  3. sinza pazuri

    Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  4. Yahaya Abdallah Sadallah

    SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  5. Melki Wamatukio

    Rajab (Harmonize) Vs Nasib (Diamond). Nani tumkabidhi tuzo 2023?

    Kutokana na mchango wao wanaouonesha katika taifa, hasa ule wa kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka, hatuna budi kuwapa motisha kutokana na kazi nzuri waifanyayo Mimi pamoja na jopo zima la sanaa X na tuzo bora Afrika mashariki, kwa kushirikiana na baraza la sanaa nchini, hatutoishia kuwaalika...
  6. BARD AI

    Diamond kamchapa kijembe Harmonize kuhusu kumiliki Range Rover?

    Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa Kondeboy kupitia insta story yake. Chibu ameweka video ya Zuchu ambaye amejinunulia gari aina ya...
  7. Kingsmann

    Harmonize ndiye King wa Bongo Fleva kwa sasa

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa. Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo: 1. Single Again 2. Wote 3. Leave Me Alone ft...
  8. Mwl.RCT

    "Single Again by Harmonize: A Hit Song with Captivating Beats, Lyrics, and Video"

    "Single Again" by Harmonize is a popular Afro-pop song that has taken the music world by storm. The song, which is produced by Dj Tarico and released under DK Company Ltd, is accompanied by an incredible music video directed by Director Kenny. In this essay, we will explore the elements that...
  9. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  10. Pang Fung Mi

    Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  11. U

    Kati ya Harmonize na Diamond nani ana nyimbo nyingi in total?

    Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album...
  12. Hemedy Jr Junior

    Harmonize amemkosea Mungu sana kwa hili alilolifanya

    Unamsujudia vipi MWANADAMU mwenzako 👇 sijui ulimbukeni au ustar ndo unamuendesha. Wamakonde manafeli wapi?
  13. U

    Diamond apewe shule ya kuimba kwa English na Harmonize

    Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani Diamond Platnums ambaye hajui kabisa kuimba kwa...
  14. H

    BASATA: Hatujapokea malalamiko ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki

    Baraza la sanaa Tanzania limekiri kwamba hawajapokea malalamiko yoyote ya Harmonize dhidi ya Wasafi na Ziiki, Katibu wa BASATA amekiri Hilo baada ya kufanyiwa mahojiano na East Africa TV ameongeza kuwa sisi tunafanyia kazi malalamiko ambayo yamewasilishwa kwenye ofisi zetu official. Na...
  15. Bundakwetu

    Single Again, shikamoo Harmonize

    Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
  16. master of cities

    Nahisi hapa Harmonize anataka aje atupige na kitu Kizito

    Jamaa Ngoma yake anayotaka kutoa ameiweka kwenye awaiting mda Sana na imepata view laki moja , nahs akija kutoa Ngoma ataunganisha na Hz views ionekane Ngoma imetambaa Kwa mda mfupi na kupiga namba Kali ya views..... Nawaza tuu , wataalamu wa haya mambo mtujuze.
  17. Slowly

    Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

    Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny , Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
  18. Bundakwetu

    Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  19. Nobunaga

    Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  20. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
Back
Top Bottom