Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri.
Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza.
Na huenda akawa msanii wa...
Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi.
Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema...
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
Kwema Wakuu!
Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo;
1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa
Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana.
Jua...
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.
Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Ukiachilia mbali muda...
Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako.
Kuna watu wanapendwa jamani.
Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana.
Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga.
Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize.
Hongera sana...
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.
Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi...
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja.
Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa...
Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa.
Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea.
WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha.
Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.
Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
Tunaweza kusema hawa mabwana wanatafuta pesa, ila ukweli ni kwamba Harmo anatakiwa awe makini sana na wanaojiita machawa wake huenda ndio wana "msnitch"
NB: "Ukiwa fukara kamwe huwezi kuwa kiburi, maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili" - Mwana FA.
Bongo Movie actress Frida Kajala has raised eyebrows among her 6 million followers after unblocking and even following back her ex-boyfriend Harmonize after months of begging for forgiveness.
The Konde Music Worldwide CEO went public asking his fans to convince Kajala to unblock him on...
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde Harmonize ni mbunifu kwakweli mimi hii wimbo wake wa MTAJE bila kuangalia ujumbe imetulia sana.
Bongo Flava Star Harmonize is reportedly under arrest in Kenya and is being held Kileleshwa police station, a day after headlining the Afrika Moja Concert at the KICC, Citizen TV has reported.
Harmonize, who was supposed to leave the country on Sunday, was arrested after he reportedly failed to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.