Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
Naingia moja kwa moja.
Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo.
Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache...
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala...
Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei kila neno aliloimba Kontawa linavutia.
Wengi waliskiliza kipande cha Kontawa ila walipofika sehemu...
Harmonize ametoa wimbo unaohamasisha matumizi ya bange lakini cha ajabu mpaka sasa serikali bado haijamchukulia hatua zozote za kinidhamu.
Huyu jamaa ulimbukeni na ushamba vinampeleka puta sana, hayo mambo ya mabangi yake angebaki nayo huko huko lakini si kuja kututangazia upumbavu wake.
Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu.
Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua...
Bundi bado ametua kwenye lebo ya Konde Music, ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii kutoka lebo hiyo, Angelina Samson, maarufu Angela naye kuwasilisha malalamiko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), akidai waachane naye rasmi.
Madai ya Anjela kuachana na lebo hiyo rasmi badala ya ilivyo sasa...
Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’.
Angela alitambulishwa kwenye lebo hiyo Machi 11, 2021 ambapo aliachia wimbo ‘Kama’ aliomshirikisha Harmonize na mpaka sasa wimbo huo...
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).
Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa relevant Harmonize naye akaitangaza siku hiyo kuwa atatoa album na yeye.
Sasa ni wazi ameyakanyaga...
Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja.
Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama...
Sina nia ya kumdharau mtu, lakini ukweli lazima usemwe.
Harmonize ni Msanii mkubwa kwa sasa hapa Tanzania, ukitafuta Wasanii watatu wanaofanya vizuri kwa sasa hapa Tanzania huwezi mkosa Harmonize.
Harmonize ana weza fanya show mkoa wowote hapa Tanzania kwa kuwa show nyingi za hapa Tanzania kwa...
Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala.
Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea!
Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia...
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Pia ataongozana na wasanii wote...
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Siku hili ni maalumu kwa ajili...
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo.
Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu.
Kama unaona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.