Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa.
Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...