Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ
1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka
2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...