Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi.
Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...