Habari Watanzania,
Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo.
Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote.
Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya...