hezbollah

  1. green rajab

    Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵… Hezbollah has announced the destruction of two...
  2. S

    IDF: Tunachunguza kwanini THAAD imefeli kwenye mashambulizi ya Hezbollah leo

    Kundi la Hezbollah leo wamerusha makombola 50 na drones 2 kaskazini mwa Israel ikiwa kama ukaribisho wa kiongozi wao mpya aliyetambulishwa leo. IDF wamesema wanachunguza kwanini mifumo ya anga ilifeli.
  3. D

    Yoav Gallant: Uongozi wa Kiongozi mpya wa Hezbollah, utakuwa ni wa muda mfupi

    Waziri wa Ulinzi wa Israel ametuma ujumbe kuwa uongozi wa Kiongozi moya wa Magaidi ya Hezbollah, Naim Qassem, takuwa wa muda mfupi tu. Soma Pia: Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant asema mazungumzo yeyote ya kusitisha vita Lebanon yatafanywa "chini ya mtutu wa bunduki" Naim...
  4. U

    Naim Qassem ateuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha kigaidi Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Kikundi cha Lebanon, Hezbollah, kimesema kuwa kimechagua Naibu Kiongozi Naim Qassem kuwa Hassan Nasrallah, aliyeteketezwa na shambulizi la angani la Israeli mnamo Septemba 27. Katika taarifa yake, Hezbollah ilisema kuwa Baraza lake la Shura lilimchagua Qassem, mwenye...
  5. Ritz

    Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

    Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon Ewe Mola...
  6. Echolima1

    Majeshi ya Israel yateka maeneo ya magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel. Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko Tehran maana hawakupenda kipenzi chao kuchakazwa hivyo.
  7. Madwari Madwari

    Kumbe waandishi wa habari wana akili kuliko Hezbollah, acha wafu wazikane

    Waandishi wa habari wakikimbilia hotuba ya msemaji wa Hezbollah kuchukua mic zao na kuondoka baada ya msemaji wa IDF kutoa agizo la Evacuation.
  8. B

    Waziri wa Marekani yamkumba ya vishindo vya wakoma, Hezbollah wakifanya yao Tell Aviv!

    Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel: Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu? https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM Ama kweli vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami!
  9. Mindyou

    Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita. IDF...
  10. U

    Hezbollah yafanya shambulizi yaua afisa mwandamizi Jeshi la Israel kamanda msaidizi brigedi ya 9308 pamoja na mwanajeshi mwingine

    Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe Taarifa kamili hapo chini: Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military battled Hezbollah in Lebanon and the Iran-backed terror group fired dozens of projectiles at north...
  11. U

    Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  12. Komeo Lachuma

    Naibu SG wa Hezbollah akimbilia Naim Kassem akimbilia Tehran. Ahofia kuwa Next target ya Mayahudi

    Jamaa yeye hajataka kuwahi mabikra 72. Ameondoka Hezbollah kuelekea Tehran kujificha huko akihofia kilichomkuta Ungo na yeye Kibeku kumkuta. Wamereport Iran katika hali ya kustaajabishwa na makamanda hawa ,mashujaa kukimbia mapambano na wengine kujificha mapangoni.
  13. py thon

    Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  14. R

    Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollah

    Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi. Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollahkatika mji mkuu wa Lebanon, Beirut...
  15. U

    IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda watatu

    News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
  16. Bams

    Saudi Arabia Yawataja Wapiganaji wa Hezbollah na Hamas, na Viongozi Wao Kuwa Ni Magaidi

    Iran na makundi yake iliyoyapandikiza ndani ya nchi za kiarabu, serikali za nchi za kiarabu, inayatambua kuwa ni makundi ya kigaidi yaliyopandikizwa nchini mwao ili kuzidhoofisha serikali za nchi hizo kwa maslahi ya Iran. Baadhi ya watu, huku kwetu hawalijui hilo. Wao wanaamini kuwa nchi hizo...
  17. gallow bird

    Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  18. Mindyou

    Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
  19. U

    IDF yamuua Nasser Abd Elaziz Rashid naibu kamanda wa magaidi ya Hezbollah huko Lebanon , alihusikana kurusha maroketi nchini Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 3min ago IDF says deputy commander of Hezbollah’s Bint Jbeil district killed in airstrike yesterday The...
  20. Allen Kilewella

    Mtoto wa mwanachama muanzilishi wa Hezbollah ataka Ayatollah Auawe!!

    Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa. Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha. Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
Back
Top Bottom