hezbollah

  1. U

    Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon Asema Hezbollah...
  2. U

    Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini: October 18, 2024 IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike Today, 8:12 am 2 The military says that it killed the commander of Hezbollah’s Taybeh compound Mohammad Hussein Ramal in an...
  3. Ritz

    Hezbollah yawateka askari wa Israel

    Wanakumbi. 🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli. Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa...
  4. U

    IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF. Walihojiwa mara moja baada ya...
  5. U

    Mkuu wa Majeshi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi atinga kibabe kambi ya Jeshi la Israel lilopigwa na drone za Hezbollah Golan!

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo --- October 14, 2024 IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern...
  6. Bams

    Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

    Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...
  7. U

    Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

    Wadau hamjamboni nyote? Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel. Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu...
  8. U

    Jeshi la Israel laazimia kusambaratisha kitengo 127 cha uzalishaji na uendeshaji wa drone cha Hezbollah pamoja na kuua makamanda wote

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Mayahudi wamecharuka! Kufuatia shambulizi baya kabisa kwenye kituo cha mafunzo cha Jeshi la Israel huko milima ya Golani jana usiku, Jeshi la Wanahewa la Israeli limeweka lengo la kusambaratisha kabisa kitengo cha 127 cha Hezbollah almaarufu unit 127...
  9. U

    Jeshi la IDF ladai kumuua Muhammad Kamei Naim, kamanda wa kikosi cha askari wa Hezbollah kinachosimamia makombora ya kulipua vifaru

    Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita Mungu ibariki Israel ========= IDF says it killed head of elite Hezbollah anti-tank missile array...
  10. 6 Pack

    Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

    Niaje waungwana Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni adui yake mkuu namba 1 hapa duniani. Obvious inaweza kuwa ngumu ukizingatia kuwa Netanyahu hataki...
  11. Sir John Roberts

    Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

    Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel. Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic...
  12. K

    Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  13. U

    Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  14. U

    Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  15. U

    Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  16. U

    Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya za Msemaji wa Hezbollah Kwamba wao kipaumbele ni kuishinda Israel kijeshi japo wanakaribisha kwa mikono miwili juhudi zote za ndani na nje ya nchi kusitisha "uvamizi" wa Israel --- Hezbollah says priority is defeating Israel, but open to efforts to halt...
  17. U

    News alert Kiongozi mwandamizi Hezbollah Wafiq Safa anusurika shambulizi ndege za IDF zikilipuwa jengo kubwa la ghorofa Lebanon, 22 wauawa

    October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm 13 Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
  18. M

    Sergei Lavrov asema Intelijensia ya Urusi inaonesha Hezbollah hawajapoteza uwezo wa kupigana

    Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact. Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa genociders, ambao walidhani kuua kiongozi fulani hapa na pale ndiyo mwisho wa taasisi. Wamesahau...
  19. U

    Jeshi la Israel laua Makamanda wawili waandamizi kundi la magaidi ya Hezbollah Lebanon, walihusika na makombora maalumu ya kulipua vifaru

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la IDF limeendeleza zoezi la kuangamiza makamanda waandamizi wa kundi la magaidi ya Hezbollah Muhammad Ali Hamdan Kamanda mwandamizi aliongoza kikosi cha anti- tank corps huko Meiss Ej Jabal. Ahmad Mustaga Alhaj Ali alihusika na urushaji makombora ya kulipua...
  20. B

    Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
Back
Top Bottom