hivyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Dr am 4 real PhD what happened to our youths, my brother? Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivyo mwanao anaongoza kupoteza shuleni?

  6. JamiiForums Tanzania TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

    Mamlaka ya ya hali ya hewa Tanzania(TMA) , imesema haijawahi kutangazia Umma kwamba kuna Mvua za El-nino. Akiongea na Wasafi FM, Dkt. Mafuru Kantamla Meneja Ofisi Kuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) amesema wanaosema mvua za El-nino wanapotosha. Kasema hivi, Namnukuu, "El-nino ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  8. JamiiForums Tanzania Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
  10. JamiiForums Tanzania Kuna watu tumepitia mengi ila hautonekani hivyo

    Nilisha wahi kuwaza kutoweka Kuna kipindi hata kuiona kesho ilikuwa jambo la kheri, maana nilitamani nikienda kulala nisiamke kabisa. Nikiona watu wanaishi as if hakuna shida nawaonea huruma na kuwaombea asije pitia niliyo ya pitia maana wasingeweza kutoka. Kuna watu wana tembea ila huwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa TAUSI siwaelewi inakuwaje viwanja vikipandishwa havikae hata masaa 3 unakuta vinebebwa, tunachezewa au kuna mwamko? Tusifanyiane hivyo

    Haiwezekani viwanja siku hizi havikai kabisa, watu tumeweka mpaka reminder alarm inaita kuchungulia kwenye App kila kiwanja ikiclick mzigo unaload masaa ukicancel request ukarefresh kimebebwa tayari. Unacheki kingine ambacho ni cha blue nayo hivyo hivyo, ninkuna mwamko au wilayani mnatuchezea...
  12. JamiiForums Tanzania Mbuyu wa Erick Kabendera, ukaondoka na mama yake na Namba 1 pia. Vivyo hivyo mzimu wa Humphrey Polepole utaondoka na mama yake na Namba1 pia.

    Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole. Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia mara kwa mara. Hii hali ilimkumba mama yake Eric Kabendera baada ya mwanawe kuwekwa nguvuni na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  15. JamiiForums Tanzania Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  16. JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Bado Niko Kanda ya ziwa huku! Aiseeh! Hii CCM kuiondoa madarakani ni kazi kwelikweli. CCM haipo tuu midomoni. CCM ilipandwa kwenye akili za watu. Yaani asilimia 90% ya Watanzania wanaakili za kiccm CCM. Wengi unaowaona wanapinga CCM wengi wao ni Njaa tuu. Wala hawapingani na uccm ambao...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  18. JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kila moyo wa kike kuna nafasi ya Mwanaume. Hivyo hivyo kwa Wakike

    Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani. Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje. Tuishi na watoto kwa upendo. Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa. Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni. Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea

    Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo. Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema, hatupokei maagizo ya kisiasa ya mtu yoyote,tutafanya kazi zetu kwa mujibu wa sheria zilizopo. Najiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…