1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto.
8. Najua matumizi sahihi ya R na L.
9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.
10. Mpenzi wa simba SC...
Hizi ni baadhi ya aina za Writeups kwa ajili yako mpambanaji:
1) A business plan for a startup farming business
(Mtaji kuanzia 2ml to 20ml), gharama zake sh 350,000
2) A business succession plan for any agricultural processing business (mtaji 2ml to 50ml) , gharama zake sh 500,000
3) Project...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
Mimi nilidhani kwakuwa Taasisi yenu hiyo ya 'Makumbusho' nchini Tanzania ina Hela nyingi (huku zingine zikiwa hazina Kazi) ambazo kamwe na Kisheria hazihojiwi Kokote basi ingekuwa pia ina uwezo mkubwa sana wa Kuwasomesha Watendaji wake wa 'Kimakumbushomakumbusho' Elimu za juu kama za Masters na...
Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini.
Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk.
Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika.
Mara...
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki..
Kipindi cha mimba: mwanamke kama huku enjoy kipindi una mimba (hasa mimba ya kwanza) my dear huto enjoy milele😄
Hiki kipindi...
Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na unywaji pombe.Nawaelewa sana wanaoamua kutumia beer za nje wakiamini kwamba zina usalama mkubwa na...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
Hallelujah!
Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana.
Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi.
Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.
Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.
Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi...
Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
1)UNYENYEKEVU
Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako.
Kuacha majivuno,kiburi na dharau.
2)KUTOHUKUMU WENGINE.
unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei.
Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.