Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.
Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
Wakuu wa JF
Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida.
Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend.
Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.
Hospitali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.
Life expectancy Kama imeshuka.
Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs.
Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84.
Sasa...
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;
1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla.
Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita.
Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
Wakuu wa Tech inakuaje....!?
Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi hii ukizidisha na 300 ushee bei ya unit 1 mara 30 staki hata kujua jibu lake.
Kiukweli hizi fan...
Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki
Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
Kwanza sikiliza hii:
Tundu Lissu anasema katika voice note hii;
"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."
"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia!
Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye...
Salaaam Wakurungwa,
Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
Habar za uzima wana JF
Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc kwa msimu huu.
Kwa upande wa cafcl kutakua na pot's 4 , :- pot 1 ;-Al ahly{Egypt}...
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda
Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua?
Je wamegundua ni...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.