Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta.
Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
Wanabodi,
Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani!
https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun
Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi .
Swali nI is...
1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba
2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
Nijuavyo mie, kazi ya Mchezaji Mpira (Professional player) ni kazi ya ajira kama ilivyo kazi nyingine.
Sasa, kwa ushamba wangu na kutokujua kwangu huwa nashangaa mambo haya:
- Mikataba haiwapi wachezaji uhuru wa kuvunja mikataba yao wakati wowote kama ilivyo kwa waajiriwa wengine. Mikataba...
moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora
Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa.
mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi.
unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...
Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6.
Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake.
ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo:
1. Bachelor degree in Banking and...
Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
Leo asubuhi nikiwa njiani nimeona ajali Moja eneo la ilula na nikiwa nimetulia napitia mitandao nimekutana na picha za ajali Ile. Ukiangalia Ile ajali Ile fuso ilikuwa imeharibika , na jamaa wa fuso walikuwa waungwana wameweka alama zote muhimu barabarani kujua huko mbele unaenda kukutana na...
Programu kama Nero Burner na Ashampoo Burning zilitumiwa sana nyakati za zamani kwa kuchoma CD na DVD, kujenga na kuhariri video na muziki. Windows Media Player na JetAudio pia zilikuwa maarufu kwa kucheza na kusimamia faili za media.
Hizi zilikuwa sehemu muhimu ya vifaa vya programu za zamani...
Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara.
Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki.
1. Kilimo
Kwa mtaji huo atafute eneo alime mazao ya muda mfupi kama nyanya, mahindi na maharage, changamoto...
Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine .
Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi .
Sasa uwaze...
Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China imeweza kupiga hatua za kutengeneza vifaa vya chaji na mitambo mengine.
Je, nchi zetu zimejikita...
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇
_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale
_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa...
Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.