Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘
Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni.
Thank youuu😘
Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza?
TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu?
Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini?
Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
Uko kazini unampigia simu mzazi mtoto wako anaumwa mzazi atakwambia tafuta boda umpakie aje nyumbani .
Unapambana unamfikisha hadi nyumbani mtoto yuko hoi badala yake wewe (mwl) ndiye unaonekana mwenye hofu na afya ya mtoto mzazi ni kumfokea mgonjwa hadi, dah unaamua kuaga na maneno ya kawaida...
Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa?
Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana...
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko.
Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
INTRODUCTION:
Ndugu moderators naomba uzi huu usipelekwe kwenye Forum ya Dini.
Natumaini nimeeleweka.
SCENARIO:
Mistari ya Machungaji/Padre kwenye ibada/misa moja ...
1. Tutaanza na sadaka ya ujenzi wa kanisa .....
2. Jamani kanisa linampango wa kutembelea wajane na mayatima, tafadhali tutoa...
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Hadhi ya Wachezaji, wachezaji watatu wa Simba wamewekewa Pingamizi na vilabu tofauti.
Yusuph Kagoma, Awesu Awesu na Valentino.
Pingamizi la Kagoma ni Yanga kudai Singida fountain gate hawajarudisha pesa zao baada ya kuwalipa lakini mchezaji walishindwana naye...
Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye...
Habari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
Habari!
Hapa tunazungumzia PesaX, FiniLoan na kadhalika. Hizi ni online platforms ambazo zinajinadi kuwa zinakopesha pesa.
Vigezo vyake huwa ni namba au kitambulisho cha NIDA, leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, au cha utaifa.
Nina maswali mengi sana. Hizi platforms zinapata faida...
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi.
Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.