Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ina maana this is not great news?

Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
 
Unaishi nchi gani ambayo huwezi kuziona BBC, Al Jazeera na nyinginezo? Au ulidhani wao ni TB? Washaripoti zamani kuanzia jaribio lenyewe na update zake zote mpaka sasa hivi
 
Screenshot_20251207-152408_Chrome.jpg
the
 
Ina maana this is not great news?
Mkuu hata ww umekuwa chini kiasi hiki? Kwanini usitazame kwenye website zao uone kama hiki unachosema hakipo? Ama unasubiri usikilize idhaa za kiswahili ndio ujue hizi habari wametangaza?
 
Ina maana this is not great news?
Hata kwenye ajali anaanza kupewa huduma majeruhi siyo maiti, hao mission kwao imeshakamilika, wanawatafuta wale ambao bado wako stable, wawasambaratishe.
 
Back
Top Bottom