CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli"
Tundu Lisu
, Makamu Mwenyekiti Bara wa...
Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi
Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha
Mwanzo nilidhani kuwa...
CHADEMA imejengwa na kujengeka lakini kwa upande wangu naona kuna matatizo haya.
Wagombea wanaopendwa hawana fedha kitu ambacho huwanyima wagombea wazuri kupata nafasi na hatimaye kumpa nafasi hiyo mwenye pesa hata kama hakubaliki.
Hili hutokea kwenye chaguzi zote za serikali. Pia tatizo...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025.
Zoezi...
🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa;
✓Acha umalaya ni dhambi.
✓ Acha kudanga ni dhambi.
✓ Acha wizi ni dhambi.
✓ Acha uchawi ni dhambi.
✓ Acha kutoa mimba ni dhambi.
✓ Acha pombe ni dhambi.
✓ Acha rushwa ni dhambi.
✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi.
✓ Acha kubaka watoto...
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam.
Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.
Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma...
Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa.
Unakatika haipiti hata dakika wanawasha.
Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
Wakuu Salam sana,
Nipo Moro town, nikaona siyo mbaya nikafungue mwaka wakati napata vyombo murua.
Kichwani mwangu nikafukiria Samaki Samaki, Star Park na Eli's Pub.
Sasa nimeenda Star park nakuta kingilio ni Bia 2 mlangoni, nikasepa, Samaki Samaki nakuta pamejaa afu pako wazi na Kuna manyunyu...
Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena:
1. Tembelea Jamii Forums
Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024.
Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025.
Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024…
https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa:
1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
Ninamshukuru Mungu kufika tarehe ya leo. Nimeona nitumie huu muda kujikumbusha kwa faida ya wote tabia mbalimbali mbaya tunazopaswa kutoingia nazo 2025 endapo tutajaliwa.
1. Unayesumbuliwa na marejesho ya mkopo kisa ulikopa bila kuwa na mpango imara wa huo mkopo tafadhali mwaka 2025 epuka...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
Shalom Wana WA Mungu alie hai
Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio
Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka
Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa
Siohaba kukuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.