Habarini wanajamvi!
Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa.
Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani.
Kulingana na bei Hisense ipo juu je vipi kuhusu ubora?Mimi sijui ila Hisense inaweza kuwa bei ila...